Anganile with My Diary girls

Anganile with My Diary girls
the first day of My diary 2nd season shoot

Home

Monday, March 28, 2011

Diary yangu wiki hii TBC 1 Jumapili saa nne usiku.

This week in Diary yangu, we get the men involved, so we can hear their perception, si unajua wadada wameongea sanaaaa, so now we get the guys talking, watch Diary yangu this sunday TBC 1 at 10:00 pm at night, dont miss it

This week tunaye Diana, ambaye jamaa wake alimuacha na kumove na dada wa kizungu, harafu imagine alimuacha wakati wana mtoto mmoja, kisa anasema, anatafuta maisha, thas so unfair, lakini usikose kuangalia ujue kiundani zaidi.

The round table week hii kwenye Diary yangu, jamaa kasimaa kuongea kwa niaba ya wanaume, its time for the guys to talk now. watch Diary yangu jumapili saa nne usiku

kwenye ukurasa wa Diary yangu week hii, tunaongelea, uhusihano wa  Nigeria superstar Ramsey Nour , soon tutaongelea masuperstar wetu wa hapa bongo, soon keep watching Diary yangu.

No comments:

Post a Comment